Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisa yaani.Tukipiga tumepiga na tukipigwa ni tumepiga tuu hadi waombe msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani.Tukipiga tumepiga na tukipigwa ni tumepiga tuu hadi waombe msamaha
Magoli ya Jobe yale.Ila nao hawa majamaa wanakosa mabao ya kizembe.
Sehemu kama hizi Saido alikuwa hakukosi
aanze kuzoea hiyo haliDiaara haelewi kabisa nini kinaendelea yani!!
Bora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! 😂😂Bonanza?
Simba inaingiaje hapa. Angalia mpira.Bora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! 😂😂
isije ikawa ni Luku yako, mbona juzi tumewasha mtambo namba 7 ?Tanesco wasee aisee,wamekataaa
Ndiiio ndiiiooo.
Weka hata picha tu, unless ufiche Utopolo wakoBora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! 😂😂
Mwenyeweee!***** uto ametepeta
Moto mkali.aanze kuzoea hiyo hali
Picha ya game ya Yanga au bonanza za simba??Weka hata picha tu, unless ufiche Utopolo wako
Hahahaha kwani mimi ndiyo nawapelekea moto au?Mwenyeweee!
Kukariri misemo!Aisee ligi ianze bwana, Kuna jirani zangu hapa washaanza kunenepa.
Huoni wenge la Uto?
😂Bora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! 😂😂