wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa upande mwingine ni kipimo kizuri sanaIla Yanga hapa wanacheza na wajerumani si Namungo.
Kumbe ni jinsia Ke! Nipo na mmoja hapa maneno yake kama yako, hamtizami uhalisia wa mchezo.
Mshaanza kujifarijikwa upande mwingine ni kipimo kizuri sana
Kweli.kwa upande mwingine ni kipimo kizuri sana
Unaijua Sevilla?Angekuwa ni Simba angekuwa amefungwa magoli saba kipindi Cha kwanza.
TASAF FC fanHii mechi ni kipimo sahihi kabisa kwa wachezaji wetu.
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Kocha sijajua kawaza nini ila Sureboy kwasasa sio wa kucheza mechi ngumu, bora amwamini Mkude kuliko Sureboy.Ila hii game ilimuhitaji sana.
Sureboy amekuwa mdogo sana
Karibu sana.[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji870][emoji870][emoji870]
Sevilla walicheza kimasihara sana.Unaijua Sevilla?
Sasa moto wa Simba ulimfanya Sergio Gómez aongee hadi kinyakyusa.
Naunga mkono hojaAngekuwa ni Simba angekuwa amefungwa magoli saba kipindi Cha kwanza.
Hahaaaa magoma kapata umaarufu mkubwa sana.TUPO pamoja magoma fc