Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #21
Saa 10 jioniMuda?
SoVery night
Super sport channel 222 na Azam TVItaonyeshwa chanel gani
Hahahahaha...Ngoja nimuone Chama
Maana ndio Mzee Pekee mwenye nafuu.
Ila Yanga mnamiss kujimwambafai hii mechi kubwa sana na hii ndio pre season sasa inatakiwa kuwa ila ..hamna kujisifu kivile..hii ingekuwa upande ule humu Nyuzi zingejaaHebu ngoja tutest mitambo, ni vyema inyeshe ili tuone kama kuna kunakovuja.
Wakati sisi tuna jiandaa na ligi nyie mpo busy na drama baadae lawama zita anza Mangungu tuachie timu yetu, mmehujumiwa / bahasha/ mmerogwa/ udhamini/ marefa/majini/ wachezaji hawajitumi / ligi dhaifu/ mnakamiwaTunaomba maamuzi ya mahakama yaheshimiwe.
Hapa Mtani kweli uko Pre Season, hii ingekuwa kwa wale mngesikiaYaani game iko mapema kabisa.
16:00Hrs.
Daima mbeleππππ°ππ πππππ°
π #MpumalangaCupπΏπ¦
β½οΈ FC Augsburgπ©πͺπYoung Africans SCπΉπΏ
π 20.07.2024
π Mbombela Stadium
π 15H00πΏπ¦ 16H00πΉπΏ
View attachment 3046769
Mwiko nyumaπππππππππDaima mbeleπππ
Timu haijulikanπ€£π€£π€£π€£π€£
Simba Vs Sevilla
UBUNTU BOTHO
Nyuma mwiko umewanasa Hadi usiku wa manane mpo online
kwa ambao hatuko bongo tunaiona kupitia wapi mtaalamu?Ngoja nimuone Chama
Maana ndio Mzee Pekee mwenye nafuu.