shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Sisi kama yanga tunasema daima mbele mwiko nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa ambao hatuko bongo tunaiona kupitia wapi mtaalamu?
huna imani et..?Hebu ngoja tutest mitambo, ni vyema inyeshe ili tuone kama kuna kunakovuja.
we mtu wa maana kabisa. sikuwaza kama huku itaonyeshwa.
Au unaweza kutazama kwa app ya Azam maxwe mtu wa maana kabisa. sikuwaza kama huku itaonyeshwa.
Kurudi nyuma mwikoo😂.ni mwendo wa Makombe tuu hadi kuku waone wivu😏Mwiko nyuma😂😂😂😂😂😃😁😁😁
kwamba unajaribu kusema 'lets go Young Africans'?Twende Yangaa..
tayari leo wadhungu 4 sisi 1
😂😂KURUJUANI tayari leo wadhungu 4 sisi 1
Haileti ladha kwakokwamba unajaribu kusema 'lets go Young Africans'?
Haileti ladha hata😅😅
Hizi ni channel za youtube au ni app?
AppHizi ni channel za youtube au ni app?
South Africa ni winter time sasa hivi, kucheza usiku ni majanga.Yaani game iko mapema kabisa.
16:00Hrs.