Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mechi ya upande mmoja..watu wanachezeshwa robo uwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanya nini zaidi ya kudondoka ovyoovyoMmemuona Aziz k
Umewaona Wajerumani?Hii ndio mwana kulitaka sasa. 💪💪
Tunao mpaka kieleweke.
Duh, ok mkuuAziz Ki ni chambo tu, ngoma ya Injinia ile
AiseeHawa jamaa tuombe nao mechi Simba day.
Maana sipendi wanavyo jichukulia maujiko kwa kuwasumbua wazee wetu
Walah! leo mnatuaibisha waziwazi
Kile alichofanya Azizi Ki wenzake wamefanya kama mara mia na hakuna aliye shout humu.Mmemuona Aziz k
Level yetu ni kina sevilla na villareal...hao augsburg wakija hapa tunawakalisha mapema tuHawa jamaa tuombe nao mechi Simba day.
Maana sipendi wanavyo jichukulia maujiko kwa kuwasumbua wazee wetu
😀😀