Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Niwakumbushe tu kuwa hiki ni kikosi B cha augsburg...kina Mbuku,titzie,komur,okugawa,cardona na petkov wanawasubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri kila kitu si kinaonekana na siku yenyewe ndio leo????Niwakumbushe tu kuwa hiki ni kikosi B cha augsburg...kina Mbuku,titzie,komur,okugawa,cardona na petkov wanawasubiri
Ila dkk 90 zitaisha tu.Mbona kama tunateseka watoto wa wenzenu 😵😵
Mwenye link atupieAisee na tunateseka hasa.
Ila dkk 90 zitaisha tu.
I can imagine, haya ni mateso makali.Aisee na tunateseka hasa.
Ila dkk 90 zitaisha tu.
isije ikawa ni Luku yako, mbona juzi tumewasha mtambo namba 7 ?
ndio alivyo fundishwa kukaba msimu huuJob ana mambo ya kike! Kwanini anang'ang'ania tshirt ya mwenzake mfwii
Kiungo mchezeshaji wa Uto hoi bin taabanMambo wanayotafanya Augsburg fc ni udhalilishaji wa kijinsia kwa kweli
Aende mahakamaniMzee Magoma analalamika unamtumia meseji za vitisho