Ndo hiyohiyo, haujakosea.Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
Arudi tuSharaf Elhidin Shayboob mchezaji anayeipenda Simba
Aisee tatu nyingi ata kwa kugegedana ni nyingiNimekuta ubao unasoma 3 hapa nimejikuta nasema kwa sauti Mungu wangu..!π₯Ί
Waliwafunga lini? Acha kuongea uongoMpira ni kitu cha ajabu, Simba kama mbovu vile ila waliwafunga APR, leo APR wanawafunga Yanga kiulainii.
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£Gift fred tulipigwa