Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndo hiyohiyo, haujakosea.Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!