FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Hawa wajinga pia beki ipo poa na vimo vinawasaisia

Yanga sisi andunje weng
 
Dakika 9 za nyongeza hii mpya ya kufungulia Mwaka. Yote hii yanatengenezwa mazingira Yanga ishinde
 
πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜
 
Daaaaaaaah...... Hersi alifanya dharau. Tulimwambia kamalize hii match mapema. Anasema APR wachovu tu. Kesho tutakuwa na hard time. Ni kudharau mambo ndo tatizo hii game angemaliza nje ya uwanja.

but hamna shida kesho mikia nao wanapigwa.
Mbona kama umechanganyikiwa !? Pole sana vyuma vi3 vimekuvuruga
 
Hawa waamuzi hawa, dk tisa kwa muda upi uliopotea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…