Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Makolokolo yameumia sana kuliko Yanga tuliofungwa, eti leo hii yanauombea Yanga SC ushindi kabisa bila hata haya, vituko haviishi duniani [emoji2]Bora tumefungwa na hawa, kwa kikosi hiki tungekutana na makolo wangerudisha zile 5
Huyu Baba siku za karibuni Hana Raha kabisaπ€π€Hana lolote huyu naye visingizio vingi wapambane Mara ngapi na ujinga wake wakati kapanga kikosi yeye
Hana mbinu kwenye hii michuano ya Mapinduzi? Umeangalia wachezaji waliotumika kwenye hii michuano ya Mapinduzi ubora wao dhidi ya wa kikosi cha kwanza? Kuna timu ipi nyingine imeweza kufanya hivyo alivyofanya kocha kwa kupanga wachezaji wengi wasiotumika kikosini? Sio swala la mbinu bali ni swala la ubora wa wachezaji waliopo Yanga, ukiachana na wa first eleven wengine wana viwango vya kawaida sana. Mbona kwenye ligi kapoteza mechi moja pekee na klabu bingwa kapoteza mechi moja pekee?GAMONDI mbinu Hakuna..
Anatembelea tu timu ya NABI..
Makolo hawa hawa wenye wachezaji wazee (wakongwe) ?...Bora tumefungwa na hawa, kwa kikosi hiki tungekutana na makolo wangerudisha zile 5
Mkuu ni kweli Yanga wametaka kutoka...hata zile sub za kina Skudu ni ujanja ujanja tu.....hata wenye mashindano wameuma midomo maana Yanga wanawaperemba tu.......Inshort matokeo wamepanga YangaTujiulize Skudu out mapema kabisa.
Lomalisa Nje mapema.
Uchezaji ukawa wakawaida kabisa hakukuwa na juhudi yoyote ya Yanga kutaka kusawazisha.
Tunawajua.
Kwa kifupi walitaka iwe hivyo. Tumeelewa!!
Hapana, they needed this.Uto tumelaaniwa aisee
HAKUNA kombe la nuksi... Tumefeli na kudhalilishwa kwa upuuzi, yanga kipingi anachukua ligi Mara 3 alichukua na kombe Hilo, simba alipochukua ligi Mara 4 na kombe hili alichukua. Hizi ni sizitaki hizi mbichi!.Tumelikwepa kombe nuksi la mapinduzii
Shangilia mkirudi NBC mchukue mkono tena
Sent using Jamii Forums mobile app
π mkuu kwenye ushabiki wa mpira sijui akili yako huwa unaazima wapi?πMiguel Gamond, tunaomba upange kikosi cha ushindi. Maana huo ushindi unatakiwa upatikane ndani ya dakika 90 za mchezo. Siku zote penati hazina mwenyewe.
Hakuna kitu kama hiki semeni kwamba mmezidiwaHili kombe tunalijua madhara yake tumetoka ki mkakati huku tukiwa na shangwe tele moyoni.
Tunaomba takwimu za kipindi cha pili mkuu ndugu yetu.Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
View attachment 2864968
Takwimu za kipindi cha kwanza.
Mudathir yahayaDiarra
Yao
Bacca
Job
Aucho
Max
Pacome
Aziz
Mwanyeto
Musonda
Watu wanaweza wasielewe kabisa.Mkuu ni kweli Yanga wametaka kutoka...hata zile sub za kina Skudu ni ujanja ujanja tu.....hata wenye mashindano wameuma midomo maana Yanga wanawaperemba tu.......Inshort matokeo wamepanga Yanga