FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Kinda Mzize aliyeshindwa kutamba mbele ya Shibooub

Naye alitaka apande ndege aende Misri aliamini kupitia uwezo wake anaweza akawa sehemu ya kuisaidia timu kuipatia ushindi mbele ya Mo Salah.
 
Kama unajua kinachofanywa na Yanga wala hushangai......Yanga wanajua wanachokifanya kuliko sisi tunaoshangilia.....Simba na Azam zote zinalitaka hili kombe sasa unadhan Yanga wamejiandaa
.....🤔🤔...

Una hoja...
 
Tujiulize Skudu out mapema kabisa.
Lomalisa Nje mapema.
Uchezaji ukawa wakawaida kabisa hakukuwa na juhudi yoyote ya Yanga kutaka kusawazisha.
Tunawajua.
Kwa kifupi walitaka iwe hivyo. Tumeelewa!!
 
Jina Linapendeza tu kwa suffix yoyote ile...

Utopolo..

Utopox...

Utopwinyo...

........

Ndo Mpirani Ulivyo Wana Utopolo... Japo najua mtasema Kilikuwa Kikosi C...
Tumepoteza mechi ila Yanga Ina future nzuri Sana, awa wachezji wapewe nafasi kwenye ligi kwakua uwezo wameonyesha.
 
Best luza wa robo yanga atacheza mshindi wa tatu
 
Nimefurahi saaaannaaa leo kesho boat ya 4 asubuh inawahusu utopolo!
 
download.jpeg
 
Back
Top Bottom