FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Zilizo nifikia wakati huu ni kwamba, mvua kubwa inanyesha dimba lote la mkapa limejaa maji mithili ya swimming pool,,..

NB: Hakuna uchawi unaofanya kazi kwenye mvua, hivyo msishangae zikapigwa set pieces mbili wananchi tukalala na viatu tena mapema sana..
 
Malizia slogan hiyo,,
 
Ee Mungu tusaidie tushinde leo tuepuke kuzima data wiki nzima, tutaziweka wapi sura zetu kwa midomo ya hawa Makolo.
Labda mshinde njaa, kipigo hakikwepeki na mvua hii ..
 
Yanga walio wengi wanatamani mechi ihairishwe wakifikiri hiyo itawanufaisha wao.

Inawezekana ikawa kweli lakini somehow inaweza kuwapa advantage wao kwasababu wanaujua uwanja wa Mkapa vizuri ni jinsi gani wanatakiwa kucheza ukiwa katika hali hiyo kuliko Monastir
 
Hivi ndugu zetu huko shirikisho huwa mnashirikishana nini,,, mbona hamtaki kutuelewesha..
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
 
Mimi kama msemaji wa chama
Ameagiza nije niwaulize je??

Amkopeshe mkono wake wa kushoto aziz ki
Maana mkono wa chama tu akipewa aziz ki
Anakuwa kama chama aliyetoka mazoezini

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


NB. Monastir nmeanza kuipenda toka 1984
 
Afu kocha kawadanganya kajaa kushangaa mataa dar??😁😁😁😁

Mjichanganye mshambulie
Kwa mara ya kwanza mshuhudie kona za katikati ya uwanja zinapigwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…