FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Zilizo nifikia wakati huu ni kwamba, mvua kubwa inanyesha dimba lote la mkapa limejaa maji mithili ya swimming pool,,..

NB: Hakuna uchawi unaofanya kazi kwenye mvua, hivyo msishangae zikapigwa set pieces mbili wananchi tukalala na viatu tena mapema sana..
 
Washaanza kulia lia
Screenshot_20230319-154246.png
 
Ninachofurahi hizi thread zinaanzishwa na makolo wenyewe kwa mbwembwe nyingi ili ushahidi ubaki milele na milele kwamba hawa jamaa wengi ni vichwa panzi wakikesha kuitakia mabaya club bora Africa Mashariki na hapo ndio ukuu wa Mungu unajidhihirisha kwa Yanga kuzidi kufanya vizuri.

Mgumba kashika mimba siku ya jana mimate mtaa mzima.

Daima Mbele Yanga Africa
Malizia slogan hiyo,,
 
Yanga walio wengi wanatamani mechi ihairishwe wakifikiri hiyo itawanufaisha wao.

Inawezekana ikawa kweli lakini somehow inaweza kuwapa advantage wao kwasababu wanaujua uwanja wa Mkapa vizuri ni jinsi gani wanatakiwa kucheza ukiwa katika hali hiyo kuliko Monastir
 
Hivi ndugu zetu huko shirikisho huwa mnashirikishana nini,,, mbona hamtaki kutuelewesha..
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
 
Mimi kama msemaji wa chama
Ameagiza nije niwaulize je??

Amkopeshe mkono wake wa kushoto aziz ki
Maana mkono wa chama tu akipewa aziz ki
Anakuwa kama chama aliyetoka mazoezini

😆😆😆😆


NB. Monastir nmeanza kuipenda toka 1984
 
Back
Top Bottom