King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kama Kawaida kwa mkapa hatoki mtu kina Monalisa watapigwa kama NGOMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiyo ya Man Utd
Malizia slogan hiyo,,Ninachofurahi hizi thread zinaanzishwa na makolo wenyewe kwa mbwembwe nyingi ili ushahidi ubaki milele na milele kwamba hawa jamaa wengi ni vichwa panzi wakikesha kuitakia mabaya club bora Africa Mashariki na hapo ndio ukuu wa Mungu unajidhihirisha kwa Yanga kuzidi kufanya vizuri.
Mgumba kashika mimba siku ya jana mimate mtaa mzima.
Daima Mbele Yanga Africa
Labda mshinde njaa, kipigo hakikwepeki na mvua hii ..Ee Mungu tusaidie tushinde leo tuepuke kuzima data wiki nzima, tutaziweka wapi sura zetu kwa midomo ya hawa Makolo.
Kilicholiliwa hapo nini?Washaanza kulia liaView attachment 2558003
Nyie Kandambili idadi ya magoli yatoke wapi? mnadhani Monastir ni vibonde Zalan.Pamoja na idadi ya magoli
Huoni hapo inatafutwa huruma?Kilicholiliwa hapo nini?
From your negative perspective, yes.Huoni hapo inatafutwa huruma?