FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Hivi hizo jezi za yanga hapo nyuma juu ya majina ya mchezaji wamefuta niniπŸ€”
 
Mnasemaga hivi hivi halafu mkipigwa mnapotea kwenye uzi
Mbona unataka uwapangie watu muda wa kuja Jukwaani na kuondoka? Hapa mechi ikianza hutaniona maana naangalia mechi live kiwanjani........yaani niache kuangalia mechi niwe busy na Simu?
 
Ila mashabiki wa Yanga huwa ni waoga sana aiseeh, wamejificha kama panya kabaki shabiki mmoja tu hapa[emoji1].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…