FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wameliaaaa Sana,[emoji881][emoji881][emoji881]7 ,[emoji1660]8
 
Leo ndo ule usemi wa Both team to score
 
Watu wa Simba mmeipania mechi ya leo mtazani yenu mpaka uzi mmefungua nyinyi, ukirudi huku kwenye inbox msg kibao za wana Simba. Yaani leo kwenye vijiwe mpaka mabenchi mmeyatoa nyinyi.

Ila leo tukiharibu hii wiki ijayo itakuwa ndefu sana kwetu, mnakamia mpaka mechi za wenzenu.
 
Uto wana mdomo thana kila lakheri monasterie
Sasa jiulize nani ana mdomo na kihelehele kati ya mikia na Yanga. Huu Uzi mmekimbilia kuuanzisha nyie kama wenu. Tatizo jana mmekimenya kitimu kutoka ligi mbovu Guinea. Basi mmekuwa kama machiz sasa mnarukia rukia tu chochote. Mna mioyo miepesi
 
Watu wa Simba mmeipania mechi ya leo mtazani yenu mpaka uzi mmefungua nyinyi, ukirudi huku kwenye inbox msg kibao za wana Simba. Yaani leo kwenye vijiwe mpaka mabenchi mmeyatoa nyinyi.

Ila leo tukiharibu hii wiki ijayo itakuwa ndefu sana kwetu, mnakamia mpaka mechi za wenzenu.
Yaani leo Uto mshinde hii game hata bao moja na msilazimishe kutafuta mabao mengi hapana kwani mutawafanya wachezaji kuwa na pressure muhimu ni point tu vinginevyo mtasumbuka sana.
 
Safari hii madam president atatoboka mifuko,leo anakombwa tena
 
Back
Top Bottom