FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Kilaa kheri timu yenye mafanikio zaidi kutoka ukanda wa Afrika mashariki.

𝙁π™ͺ𝙑𝙑 𝙝𝙀π™ͺπ™¨π™š,,𝙁π™ͺ𝙑𝙑 π™¨π™π™–π™£π™œπ™¬π™š,π™¬π™–π™Ÿπ™š 𝙩π™ͺπ™’π™–π™‘π™žπ™―π™–π™£π™š.[emoji3448][emoji169][emoji172].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafanikio kombe la NBC??

Nyie msitake kuchekeshaa watu hapaa. Khaaaaah
 
Kama kuna Yanga mwenye ujasiri wa kuanziasha Uzi anyoshe mkono..shukuruni tu tumewasaidia...kulia au kucheka kupokezana..jana Simba wameanzisha uzi wao ukavamiwa na Wana Utopolo kwa jina la Horoya fan..kipi kigeni?!
Kwani nani kamuomba mleta Uzi kuanzisha Uzi? Yanga inafuatiliwa zaidi na wasio wanaYanga ndiyo maana tuwaacha maana tunajua wataanzisha
 
View attachment 2557448

Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.

Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke
Umejitolea kuwafungulia uzi au wamekuomba?...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila laheri wawakilishi wa Tz kwenye CAFCC.
 
IMG_20230319_101538.jpg

usije kufikiri yanga atafungwa leo, bookies/Vegas hawajawahi kukosea odds.
Na ukiona odds kubwa imetoa tambua hiyo match ni fixing
 
Hebu lia kimya kimyaa, sisi hatutaki kelele zenu hapa,
Monastir wana wasubiri hukoo, simba hatuhusiki na sio shida zetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poleeeeeeniiiiii
Mnatamani mechi iwee saaa saba mnaona kama inachelewa.
 
Unachokifanya si kizuri! Naomna wahusika waufute uzi huu. Wewe ni mshabiki wa Simba acha wenye Yanga yao waendelee kama jana walivyowaheshimuni
Yeyote anaruhusiwa kuanzisha uzi wa timu yeyote hata angekuwa mshabiki wa Azam au Ihefu bado hakuna kosa jukwaa huru hili
 
View attachment 2557448

Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.

Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke
Ushindi ndio jadi yetu
 
Uzalendo mm sina acha yanga wafinywe ili wawe na adab na mkubwa ..maaana wanadharau sana ..subiri niendeleee kushangilia kila siku maaana mpaka wiki inaisha daily nashabgilia kigoli kimoja ...
 
Yanga anashinda leo.
Ila tunahofia zile tunguli za jana hatuna uhakina kama walirogwa Horoya pekeyao, zisije kutudhuru sisi wananchi.

Mje muondoe vitu vyenu hapa kwa Mkapa. Wananchi tunataka kuutumia ule wembe tulioutumia kwa Zalan.
Halafu Jana nmeona mipira iliyokua inatumika ni Ile iliyoandikwa Simba kwa makapen sijawah kuliona hili hivi ni maagizo au Kuna utaratibu gani kuhusu mipira inayotumika uwanjan
 
Halafu Jana nmeona mipira iliyokua inatumika ni Ile iliyoandikwa Simba kwa makapen sijawah kuliona hili hivi ni maagizo au Kuna utaratibu gani kuhusu mipira inayotumika uwanjan
Leo na nyie nendeni mkaiandike Yanga, ili zile goli saba zijirudie.
 
Back
Top Bottom