FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Naona umeamua kuwasaidia maana hawajiwezi hata kupiga mswaki...imajin hawajafungwa waoo..
Liwapate lile mlilojiandaaa nalo...
Reoo ni reooo sis 💪💪💪💃💃💃💃🤸🤸
 
Mods kwa nini mnaruhusu huyu mamluki kuanzisha uzi huu? Alianza kuanzisha Uzi wa kushabikia timu pinzani, ina maana atakuwa analeta up dates za upande mmoja tu.
Ni kawaida tuu..kikubwa updates tuzipate kwa wakati hahahahha
 
LOLOTE BAYA LIWAPATE MBWA WA UTOPOLO.

US MONASTIR NIPIGIENI HAO MBWA 2 TU.

KILA LA KHERI MONASTIR MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
20230319_112553.jpg
 
View attachment 2557449
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka pale dimba la Benjamini Mkapa kutafuta alama tatu zingine ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika.

Ikumbukwe kuwa mchezo wa awali uliopigwa huko nchini TUNISIA [emoji1249] timu ya US MONASTIR iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga 2-0 hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote. Yanga anahitaji ushindi ili afuzu robo fainali kwa mara ya kwanza
Kila lakheli yanga ila hamuwez kutufikia Simba sc kimataifa....nyie kimataifa ni UNDERDOG Kwetu....
Kila la kheli
🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
 
Back
Top Bottom