Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kuna nini?Angalieni ZBC2 huko jaman kuna mauaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini?Angalieni ZBC2 huko jaman kuna mauaji
Joyce Yuko fiti. Nawahofia Kibwana na Nondo!kwa mabeki wale kina Joyce mpira ni wake kabisa mia fil mia.
Pamoja na idadi ya magoliMvua inayopiga Dar inaweza punguza idadi ya mashabiki uwanjani...
Uwanja utajaa maji na hivyo itambidi Nabi aanze na mfumo wa kubutua butua kwasababu mpira utakuwa hautembei.Asee nasubiri dambwi 😳
Wakomae tuNasikia Yanga wanaomba mechi ihairishwe kwa sababu ya mvua kubwa.
Tutaliinua taifa asanteKila La Heri Utopolo Kandambili Leo Ni Leo
Msitutie Fedheha Maana Ushindi Ni Kwa Taifa Hasa Ukizingatia Ni Hatua Ya Kufuzu
MkiwezaTutaliinua taifa asante
Tutaweza usiogopeMkiweza
Hali ya hewa inatia wasiwasiTutaweza usiogope