mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kacheza faulo mbaya sanaAucho anakula njano
Hapa sasa mmeshapata goal mtajitokeza mlipojificha [emoji23][emoji23]
Upo sahihiMaxence Melo JamiiForums Moderator kuna nyuzi mbili za mechi moja, unganisheni ule mwingine waje huku
Vipers walikufua 2 Zero hapo kwa mkapa na bado ikaitoa Mazembe ambaye ataenda kufifisha ndoto zako za kutinga Robo pale Kinshasa baada ya leo kufurumushwa 3-1 na mwarabuutakuwa na mzio/aleji ya kupenda vitu vizuri yanga mbovu horoya na vipers unawaweka wapi
Asante mtani42' Yanga 1-0 USM
LEo USM watapigwa 3Chupu chupu USM wapigwe
Friends kama wote...[emoji172][emoji169][emoji172]Friends of Yanga ndo tunaingia sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]