FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Gongowazi mna uwezo wa kushinda hata bao 5 US Monastir na TP Mazembe ni Vikundi vya wahuni walio kwenye mchezo wa Soka, wamelewa mvua.!
 
Kuna watu nashindwa kabisa kuwaelewa, hivi ni kipi kinakufanya umshambulie OKW BOBAN SUNZU , jamaa anajitahidi kutoa live updates halafu yupo very positive kwa timu yako. Mnaweza mkataniana kama ilivyo jadi lakini siyo kwa namna hii.
Unajua uungwana ni ku declare interest! Hakupaswa kuanzisha huu uzi! Yeye ni mnazi wa simba.
 
Back
Top Bottom