Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Mpira Umepoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh pole haya lala mrembo. Acha sisi tusheherekee ushindi wetu. Good night mamii.Hapana [emoji23] nipo zangu nasinzia acha niwaachie ushindi wenu
Hamna timu hapo, niamini. Yanga walienda kule kwa hofu wakikumbuka mechi yao na Club Africain ilivyoisha.
Labda bao la keteVipi huko Monastir wana dalili za kutafuta bao kweli?
Imekuwaje?Mmeona mpinduo huo
wanacheza wanao jua sio malofa kama janaMpira Umepoa
Hizo mara 6 wapi huko? Isije ukawa umekosea unamaanisha goli 6 tulizowapiga au unamaanisha mlizopigwa na Raja?Leta timu yako mtani. Umetushindwa mara sita mfululizo, alikuroga nani?
Kalpana nisaidie kwenye maombi haya ..Uliwanga nini?
[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
Nyie ni vibondee hamuwezi kufikia level za mnyama...kombe la loserwanacheza wanao jua sio malofa kama jana
Mtu kapinduliwa kama chapatiImekuwaje?
AchaMpira Umepoa
Mkuu nacheka kama mazuriKalpana nisaidie kwenye maombi haya ..