Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana makasiriko hao japokuwa wameshinda [emoji3][emoji3]Yanga ni kama uji wa msibani umepooooaaaa
Hattrick mechi ijayo ya ligi usijali utaiona 😂Hakuna hatrick huu ni upupu
liwe bovu ila la jana hahahahahha ni uharooooBovuuu mnooo
Yani li loser li bovu
Mtaisubiri sana rafiki safr hii mtasubiri sanaa hahahaHattrick mechi ijayo ya ligi usijali utaiona 😂
Kaongo ndiyo maana nimekuachaWanamalizia mziki babe[emoji28][emoji28]
Kwa mujibu wa Rage, wewe ni mbumbu.mimi simba na MBWA NI MASHABIKI WOTE WA UTOPOLO - LUC EYMAEL.
Sawa Boss endelea kusherehekea usipite na mimi bureNa tungeanza na wewe kupigana
AahaajahNdombolo ya solo imemaliza kucheza kwa ushindi mwembamba...najua hawana furaha
Hakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.Pira halina vibe...ni kukamia tuuu hakuna udambwi dambwi
Na wanakuja kama kundi la nzigeWaliopotea jana, leo wote wataonekana hapa
Sijui tatizo ni Nini aisee...ujue Kuna time u feel bad for them licha ya ule msemo wa adui muombee njaaMazembe wamefikia kubaya daah
AhahahajHakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.
Hakuna Penetration skills and dribbling skills kama za Chama hakuna zile stop stop.. Finya punguza chapa kibao.
ambao hawana furaha wanafahamika, wanashinda ila holaaaNdombolo ya solo imemaliza kucheza kwa ushindi mwembamba...najua hawana furaha