FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Hakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.

Hakuna Penetration skills and dribbling skills kama za Chama hakuna zile stop stop.. Finya punguza chapa kibao.
ujaona visigino
ujaona kanzu
ujaona skills goli la kwanza

hayo yote anafanyiwa mwarabu achana na ma bwana miti wa jana
 
Hakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.

Hakuna Penetration skills and dribbling skills kama za Chama hakuna zile stop stop.. Finya punguza chapa kibao.
Hatuja ziona na Raja hizo,japo mmepita ila Morocco zile mlizowapiga wenzenu mnapigwa nyinyi.
 
Back
Top Bottom