FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
Kweliiiiiii
 
Ndiyo kichaka kilichobaki na nacho ipo siku tutakichoma
 
Now u're talking.Heshimu sana CL ni mashindano ya walio bora tu barani Africa.
USikhofu,na ichonkichaka Cha CL tutakichoma muda si mrefu na hivi uzuri hamna kombe lolote huko pasi shega tu

Hamuamini macho yenuui,aahahaaaj
 
Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
Hili kombe mnaliponda ila ndio liloitoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nyinyi,kufanya ushirikina kama mlio ufanya nyinyi South Africa.

Mmewatia hasara wenzenu kukarabati pichi yao upya,chaki za kati zikabadilika na kuwa nyeusi.
 
USikhofu,na ichonkichaka Cha CL tutakichoma muda si mrefu na hivi uzuri hamna kombe lolote huko pasi shega tu

Hamuamini macho yenuui,aahahaaaj
Yani tutoe kipigo cha mbwa mwizi jana kwenye CL,tubebe 35M kwa mara moja.Nyinyi leo ndiyo mmefikisha hizo 35M baada ya papatu papatu za hapa na pale halafu useme tunawaonea wivu.Uto kuweni basi serious [emoji3]
 
Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nini,kufanya ushirikina kama lio ufanya nyinyi South Africa.

Mmewatia hasara wenzenu kukarabati pichi yao upya,chaki za kati zikabadilika na kuwa nyeusi.
Hilo mnalo miaka sasa sisi tunayeya tuu...nyie wanga wa sirini ni wa viwango vya sgr mpk mkamatwe ni mpk tutumie mbinu za kivita..ila mmetuzidi uchawi..
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
✌️
 
Back
Top Bottom