Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Now u're talking.Heshimu sana CL ni mashindano ya walio bora tu barani Africa.Nyie chukueni hizo billioni zenu,Kila mtu apambane alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now u're talking.Heshimu sana CL ni mashindano ya walio bora tu barani Africa.Nyie chukueni hizo billioni zenu,Kila mtu apambane alipo
KweliiiiiiiMnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
Ma middle yako Mzamiru mvunja kuni ball control hana jiandaeni, kutetea brand yenu la sivyo zitawahusu za Horoya wale Raja hawana mchezaji mbovu.Hata tukifungwa hatuwezi vunja rekodi yenuView attachment 2558457
Mabwana miti 🤣🤣🤣🤣ujaona visigino
ujaona kanzu
ujaona skills goli la kwanza
hayo yote anafanyiwa mwarabu achana na ma bwana miti wa jana
Ndiyo kichaka kilichobaki na nacho ipo siku tutakichomaMnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
Kenge wa kikeMvua imeharibu mipango ya waarabu..
Hamuwezi kwa sababu pumzi ya CL hamna.Bakini huko huko Losers cup panawatoshaNa tutazidi kuvichomw vichaka mnavyojichiamo
Chura wa kike ww mtaga mayaiKenge wa kike
USikhofu,na ichonkichaka Cha CL tutakichoma muda si mrefu na hivi uzuri hamna kombe lolote huko pasi shega tuNow u're talking.Heshimu sana CL ni mashindano ya walio bora tu barani Africa.
Usiniqoute kama hujui utani..komaKenge wa kike
Hauamini macho yako,aahahahahChura wa kike ww mtaga mayai
Hili kombe mnaliponda ila ndio liloitoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nyinyi,kufanya ushirikina kama mlio ufanya nyinyi South Africa.Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
Mbona una panic sanaUsiniqoute kama hujui utani..koma
Nyie tuwanyooshe kwanza kwenye Ligi,kwani mwezi ni mbali basi,mkuu hicho kichaka chenu kipakeni kilainishi tunakuja kukilalaHamuwezi kwa sababu pumzi ya CL hamna.Bakini huko huko Losers cup panawatosha
Yani tutoe kipigo cha mbwa mwizi jana kwenye CL,tubebe 35M kwa mara moja.Nyinyi leo ndiyo mmefikisha hizo 35M baada ya papatu papatu za hapa na pale halafu useme tunawaonea wivu.Uto kuweni basi serious [emoji3]USikhofu,na ichonkichaka Cha CL tutakichoma muda si mrefu na hivi uzuri hamna kombe lolote huko pasi shega tu
Hamuamini macho yenuui,aahahaaaj
Hilo mnalo miaka sasa sisi tunayeya tuu...nyie wanga wa sirini ni wa viwango vya sgr mpk mkamatwe ni mpk tutumie mbinu za kivita..ila mmetuzidi uchawi..Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nini,kufanya ushirikina kama lio ufanya nyinyi South Africa.
Mmewatia hasara wenzenu kukarabati pichi yao upya,chaki za kati zikabadilika na kuwa nyeusi.