FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

..kwa mara ya kwanza toka uzaliwe umeishuhudia Utopolo ndani ya robo fainali ya CAFCC.

Umepata cha kuwasimulia wajukuu
Mwezi wa nane tunachoma kile kichaka cha CL mnachotambia utafikiri mmeshawahi kombe lolote la maana
 
Tushafuzu,who cares
 
Yanga anashinda leo.
Ila tunahofia zile tunguli za jana hatuna uhakina kama walirogwa Horoya pekeyao, zisije kutudhuru sisi wananchi.

Mje muondoe vitu vyenu hapa kwa Mkapa. Wananchi tunataka kuutumia ule wembe tulioutumia kwa Zalan.
Tushazitoa na hizo nambo alituazima kaiza chief
 
Mpira umechezwa haswa na kikosi bado kikaendelea kuonyesha njaa ya magoli angali bado ilikua inaongoza kwa magoli.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£Njaa Ya Magoli Baada Ya Mpira Kwisha Ama Sijakuelewa
 
Jamani wana utoooooooo
Muwe na usiku mwema japo presha yenu ko juu kwa sbb hamjafikia malengo ya kufunga 8 πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Ndo malengo yaooooo🀣🀣🀣
 
Kwani ww una points? Baada ya kushinda ugegenini na mimi nina ngapi.

Hatua ya kuingia Makundi mechi ya Mwisho nilishinda kwenye uwanja gani? na kwenye nchi gani?

Ukishajua nchi kacheki Rank za CAF halafu fananisha na uliyo shinda wewe na niliyo shinda mimi ndipo utajua hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…