Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Labda wadau washalogaHalafu na hiki kimvua sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wadau washalogaHalafu na hiki kimvua sijui
Na radi kama zote. Kwa hii mvua Yanga kashapoteza hii mechi.Wawe na bahati tu walau mvua ikate mapema halafu mashabiki wapate fursa ya kujitokeza kwa wingi uwanjani
Hizi radi nawe umezicheki eeh?Na radi kama zote. Kwa hii mvua Yanga kashapoteza hii mechi.
Hakuna kitu kama hicho, na uziri mazingira kama hayo yalishawahi kutokea kwenye mechi ya Derby na Simba ikashinda, tena ikiwa pungufuLabda wadau washaloga
Huku kwangu nashangaa hawajakata mpaka sasa pamoja na mvua na radi kali.Hizi radi nawe umezicheki eeh?
Basi hapo TANESCO ndio walipopatia sababu
Huko kwa wadosiHuku kwangu nashangaa hawajakata mpaka sasa pamoja na mvua na radi kali.
Ukiona anatema mimate kwa sana ujue ni dalili za mapacha. Ila afadhali wamemkomeshaMgumba kashika mimba siku ya jana mimate mtaa mzima.
Huyu jamaa nilisikia habari zakeView attachment 2557878
Anaitwa ANTONY OKPOTU anafunga akiwa benchi kacheza Southampton kacheza Sevilla
Mechi 7 magoli 26 assist 40
Ndugu zangu wananchi tusiende uwanjani