Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Adui muombee Njaa,Nawatakia Kila la kheri watani zetu
#TeamMonastri niko nimetulia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui muombee Njaa,Nawatakia Kila la kheri watani zetu
Yanga inawatandika kuanzia waarabu mpaka wamatumbi wa msimbazi kama unabisha waulize Club Africaine pale kwaoBaadae nisisikie kelele za waarabu ni wagumu sijui nini na nini... hata mnyama alishawatandika waarabu hapo taifa vizuri sana tu.
Nachomaanisha, sitaki visingizio.
Dume zima unajiita tamuuu? [emoji1784]Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.
Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Yanga ipi ya kwenda fainali?Twende kazi hii ni mechi ya fainali. Kwa maana huenda fainali zikakutana tena Yanga na Us monastir
Sahih kbsa hajui ccm ndio imekamata hatma ya maisha yake kwa kisas chake choteCCM ndiyo kinachokulea,njoo nikupe kadi ya UVCCM,usiwe kama mpwayungu village
Usafi vyooni unawashinda mabomba wataweza?Daah uwanja mzuri hauna mabomba ya kuvuta maji ili yasituame ndani au nayo tunahitaji msaada kutoka China TFF washaurini Serikali sio mnakomaa na makato tuu mpaka DRFA wakati hamuwezi kuutunza uwanja...
Dickson Job leo benchiView attachment 2558241
Kikosi cha YANGA hko hapo aibu naona mm
Mbona wamegoma kuja uwanjani....Kuna nini...?View attachment 2558236
UTO wamegoma kuja uwanjani
US MONASTIR DAMU [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249]