FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Baadae nisisikie kelele za waarabu ni wagumu sijui nini na nini... hata mnyama alishawatandika waarabu hapo taifa vizuri sana tu.

Nachomaanisha, sitaki visingizio.
Yanga inawatandika kuanzia waarabu mpaka wamatumbi wa msimbazi kama unabisha waulize Club Africaine pale kwao
 
Daah uwanja mzuri hauna mabomba ya kuvuta maji ili yasituame ndani au nayo tunahitaji msaada kutoka China TFF washaurini Serikali sio mnakomaa na makato tuu mpaka DRFA wakati hamuwezi kuutunza uwanja...
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Dume zima unajiita tamuuu? [emoji1784]
JamiiForums212693510.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Daah uwanja mzuri hauna mabomba ya kuvuta maji ili yasituame ndani au nayo tunahitaji msaada kutoka China TFF washaurini Serikali sio mnakomaa na makato tuu mpaka DRFA wakati hamuwezi kuutunza uwanja...
Usafi vyooni unawashinda mabomba wataweza?
 
Back
Top Bottom