FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Hii Topolo mafanya nini hapa naaibisha mama
 
View attachment 2557449
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka pale dimba la Benjamini Mkapa kutafuta alama tatu zingine ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika.

Ikumbukwe kuwa mchezo wa awali uliopigwa huko nchini TUNISIA [emoji1249] timu ya US MONASTIR iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga 2-0 hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote. Yanga anahitaji ushindi ili afuzu robo fainali kwa mara ya kwanza
watapigwa tena 2 -0 nyumbani
 
Usafi vyooni unawashinda mabomba wataweza?
Hawataki kutoa hela wanadharau kazi za watu wakiambiwa watoe hela kampuni ya usafi ifanye wanaona wanaibiwa wanaita watu mtaani wafanye usafi kazi tunayo kweli kweli...
 
Huyu Funguo [emoji360] Nadhani sasa mmeanza kuelewa uchezaji wake tulivyokuwa tunawambia, ndo maana akianza kwenye kikosi au akianzia benchi wala hamshangai.
Kwanini wapi nilipoonesha kuwa nimeahangaa Dickson Job kuwa benchi? Kwenye mpira wa miguu lazima kuwepo na wachezaji watakaokuja kubadili mchezo au kuumaliza mchezo kimbinu. Sio kila mchezaji anayekuwa benchi ni kwasababu ya ubovu. Na ndio maana makocha wanapoona mambo hayaendi sawa hufanya sub
 
Back
Top Bottom