OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #301
Aibu ya hadharani sio nzuri. Heri yakukute umejifichaMbona wamegoma kuja uwanjani....Kuna nini...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu ya hadharani sio nzuri. Heri yakukute umejifichaMbona wamegoma kuja uwanjani....Kuna nini...?
Hii ni Fallacy...........ingekuwa ni simba Uwanja ungefurika hivyo hivyo hata kama mvua inanyesha... Iwe mvua iwe jua
Umewaza mbali aisee..Aibu ya hadharani sio nzuri. Heri yakukute umejificha
Umbumbumbu ni shida sanaUto wamekimbia uzi, wamekimbia kwa Mkapa pia, ni kuishi kwa matumaini tu
watapigwa tena 2 -0 nyumbaniView attachment 2557449
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka pale dimba la Benjamini Mkapa kutafuta alama tatu zingine ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa mchezo wa awali uliopigwa huko nchini TUNISIA [emoji1249] timu ya US MONASTIR iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga 2-0 hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote. Yanga anahitaji ushindi ili afuzu robo fainali kwa mara ya kwanza
Mnajitekenya na kucheka wenyeweAibu ya hadharani sio nzuri. Heri yakukute umejificha
Hivi unawajua mashabiki wa Simba au unawasikia....?Hii ni Fallacy...........
Sawa mrithi wa Sheikh Yahya pale Magomeniwatapigwa tena 2 -0 nyumbani
Akina mama Boko au wapi hao?Hivi unawajua mashabiki wa Simba au unawasikia....?
Hawataki kutoa hela wanadharau kazi za watu wakiambiwa watoe hela kampuni ya usafi ifanye wanaona wanaibiwa wanaita watu mtaani wafanye usafi kazi tunayo kweli kweli...Usafi vyooni unawashinda mabomba wataweza?
Bro... Unajua kwenye huu uzi umebaki we we mwenyewe...?Umbumbumbu ni shida sana
kwahiyo yanga na mbwembwe zote wanashindana kombe la walioshindwa cyoNi muhimu kukumbushana; hili ni kombe la losers; Simba kule wanapambania Champions!
Unataka kusemaje?Bro... Unajua kwenye huu uzi umebaki we we mwenyewe...?
Kwanini wapi nilipoonesha kuwa nimeahangaa Dickson Job kuwa benchi? Kwenye mpira wa miguu lazima kuwepo na wachezaji watakaokuja kubadili mchezo au kuumaliza mchezo kimbinu. Sio kila mchezaji anayekuwa benchi ni kwasababu ya ubovu. Na ndio maana makocha wanapoona mambo hayaendi sawa hufanya subHuyu Funguo [emoji360] Nadhani sasa mmeanza kuelewa uchezaji wake tulivyokuwa tunawambia, ndo maana akianza kwenye kikosi au akianzia benchi wala hamshangai.
Naona chezaji lenu la gharama limeanzi benchi[emoji1]Here we go.........daima mbele [emoji169][emoji172][emoji123]View attachment 2558274
Unajua maana ya team?Naona chezaji lenu la gharama limeanzi benchi[emoji1]