OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #481
24' Yanga 0-0 USM
Yanga wameuchukua mchezo
Yanga wameuchukua mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hii game wameikamata lazima washindeUtakuwa hukuangalia game ya Tunisia wewe.
Hawa chura walirukaruka hivi hivi, ila kilichowakuta wanajua.
Mnaosikiliza redioni huwa mnashida sanaHapa mama samia usitoe hata elfu 10000 pira bovu
Si mlicheza na wavuvi. Siku mliyocheza na Raja, dakika kama hizi hali ilikuaje?Jana dakika kama hizi mnyama alikuwa tayari ashawainua mashabiki kwa kelele za shangwe!
Wanatakiwa washambuliaji wao wawe makatiliYanga hii game wameikamata lazima washinde
Maskini mtani wangu leo kinyonge mno.. Tumuombee tuu maana anaweza kujinyonga [emoji23]Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke.
View attachment 2558326
Kikosi cha Yanga
Mchezo umeanza licha ya mvua kubwa kinyesha Dar es Salaam
2' Mayele anapiga shuti kali nje ya 18 kipa anapangua
5' Yanga wanatawala mchezo
10' Presha ni kubwa kwa wageni
16' Djuma Shaban anapiga shuti kali nje ya 18 kipa anapangua inakuwa Kona
19' Yanga wanapata Kona nyingine
20' Monastir wanajaribu kujipanga lakini presha inakuwa kubwa kwao
Kuongezea mpaka sasa possession sisi 79% wao 21%.yanga anakupigia mpira mkubwa hadi unafurahi
21 ya nani?Possession 79%-21%
unaona hadi aibuHapa mama samia usitoe hata elfu 10000 pira bovu
Kocha wa Kibanda umiza toka mbumbumbu fcMwarabu bado anamsoma utopolo pale, counter moja ... goli moja .. kisha uto wote mikono kichwani..