Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Siyo muda mrefu MONASTIR WAPATA GOLI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wangeziunganisha, sijui hata wako wapi leo Maxence MeloKuna nyuzi mbili kwa mechi moja ndo maana huu uzi haukimbizi. ule wa beji ya live upo on fireeeee
MffyuuuuAucho red card soon
ile ndo vipers hii ya sasa n vipisi imechukuliwa wachezaji wake wote hadi kochaVipers walikufua 2 Zero hapo kwa mkapa na bado ikaitoa Mazembe ambaye ataenda kufifisha ndoto zako za kutinga Robo pale Kinshasa baada ya leo kufurumushwa 3-1 na mwarabu
Taratibu unaanza kumkubaliMayele ni fighter sana kwenye kutafuta bao
[emoji23][emoji23] Hatujakataa kama hivi mkifunga mnaonekana sanaa ngoja sasa goal lirudishwe mnapotea woteLeo mmetuamlia mmefungua nyuzi mbili,tupo pote pote
Uwe mzalendo basi mkuu.. Simba ikisonga na Yanga ikisonga ni fahari kwa nchiLinarudi hilo goli mapema kipindi cha pili.
Mvua ya leo kama ilitumwa vileDahhh uwanja mbovu [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mffyuuuu
Umeanza mauchawi yakoLitarudi
Mbona umlikuwa mnajificha hamna imani na team yenuForever and always 💃💃
jamaa alikuwa nyuma ilikuwa ngumu kumpaMayele aache uchoyo......pasi tu mwenzake afunge
Kabisa mkuuUwe mzalendo basi mkuu.. Simba ikisonga na Yanga ikisonga ni fahari kwa nchi
☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️😄Tunacheeka kwa dharaaaau. 🤣🤣
Kocha alikuwa yupi? Zaidi ya Mussonda nani kaacha bwashee acha uzushi bana 😂😂😂ile ndo vipers hii ya sasa n vipisi imechukuliwa wachezaji wake wote hadi kocha