FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yanga hawana mpira wa kuvutia yofauti na ladha ya Simba wakiw uwanjani.

Kinachowasaidia hawa ndugu zetu ni midochi + kukimbia kimbia bila malengo.
hahahaha unajipa moyo

hadi wachambuzi wanakwambia simha anashinda kwa mpira mbovu ila yanga anashinda kwa vyote mpira na magoli
 
Back
Top Bottom