FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Mkikuwa mtaweza kushindana huku kwa ma real champions!! Ila sio kwa utopolo hii mbovuSo what?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkikuwa mtaweza kushindana huku kwa ma real champions!! Ila sio kwa utopolo hii mbovuSo what?
Huyo alie kugonga 4?Haitasaidia Mazembe kawa lizembe
Kule upande wa pili, Mamelodi wanapaka tu mkongo kumsubiri simbwa. Mtabakwa hadharani!yanga alipita hapa anakutana na PYRAMIDE AU RIVERS UNITED
KAZI IPO WANANCHI
😅😅😅😅Waite wana waje na ole wao waniponde .. Mtakachokipata hamtanisahau
una wivu wa kikeMkikuwa mtaweza kushindana huku kwa ma real champions!! Ila sio kwa utopolo hii mbovu
Simba Sports sio Loser. Sasa anachukuaje kikombe cha LOOOOOSERSUmewahi kuchukua Hilo kombe la looser au unapakatwq🤣
Huu wa Leo ndio mpira Sasa,japo mvua imeharibu ,ila wanaume wanakaza kiumeMkikuwa mtaweza kushindana huku kwa ma real champions!! Ila sio kwa utopolo hii mbovu
Subiria derby yetu mwezi wa nne,uje ujue kama mpira wetu unavutia au hauvutiiYanga hawana mpira wa kuvutia yofauti na ladha ya Simba wakiw uwanjani.
Kinachowasaidia hawa ndugu zetu ni midochi + kukimbia kimbia bila malengo.
hahahaha unajipa moyoYanga hawana mpira wa kuvutia yofauti na ladha ya Simba wakiw uwanjani.
Kinachowasaidia hawa ndugu zetu ni midochi + kukimbia kimbia bila malengo.
Yaani umekuwa mpoleSina maneno mengi jana hiyo na comment kibao na nilikuwa nimekula uzi mwekunduView attachment 2558352View attachment 2558353View attachment 2558351
Tp Mazembe ni kikundi cha wahuni, kilichojiunga kwenye mchezo wa Soka.Kapigwa na timu mbovu kabisa Bamaco. Kumbe ndio maana kipofu aliona mwezi pale kwa Mkapa akamshindilia tatu nunge
Usisahau derby yetu mwezi wa nne mwaka huuYanga papatu papatu
kweli ila hawawafikii horoya, vipers na simbaYanga papatu papatu
Hiyo michambuzi iloshiba magodoro?hahahaha unajipa moyo
hadi wachambuzi wanakwambia simha anashinda kwa mpira mbovu ila yanga anashinda kwa vyote mpira na magoli
Timu mbovu hiyo wewe itakuua bure.. Timu tia maji tia maji hiyouna wivu wa kike
C unaona lakini? Zile finya finya za chama.. Zimbwe jr.. Inonga mzee wa chejo yaan unaenjoy footballSubiria derby yetu mwezi wa nne,uje ujue kama mpira wetu unavutia au hauvutii
Utahira unakusumbua na mihafarati wahediiiiiSimba Sports sio Loser. Sasa anachukuaje kikombe cha LOOOOOSERS