FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Naomba kuuliza Jamus ni team ya wapii? Nilijua Jamhuri,
Ndo mtu ananikatalia, kuangalia vzuri ni kweli, team ya wapi hii?
Jina geni kwangu wallah
 
JAMUS....JAMUS...JAMUS Nawataja mara 3.....! Lipo Somo mmelitoa, hamna baya..

Msiache kumsalimia Zalani mkirejea Kwenu...!
 
Kumbe hizo TV zipo?

Mie Nijuavyo baada ya smart TV dlgital devices mifumo yote ya analogy ilizimwa, hebu twambie kweli unayo hiyo Panasonic?
TV aina ya Panasonic toleo la 1982 kwanini lile goli usione kama ni offside?
 
[emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii inaitwa baba ubaya kafanya ubaya tena na leo lazima mioyo iwaume.
Ilipochukua Simba lile kombe unakumbuka mlisema kombe la Bonanza??

Leo kwa udi na uvumba mnatafuta ushindi na mkiupata mnasheherekea kama vile mmewafunga Mamelodi.
 
Ilipochukua Simba lile kombe unakumbuka mlisema kombe la Bonanza??

Leo kwa udi na uvumba mnatafuta ushindi na mkiupata mnasheherekea kama vile mmewafunga Mamelodi.
Kwahiyo tukishinda tulie?

Kweli rage hakukosea
 
Back
Top Bottom