FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Naomba kuuliza Jamus ni team ya wapii? Nilijua Jamhuri,
Ndo mtu ananikatalia, kuangalia vzuri ni kweli, team ya wapi hii?
Jina geni kwangu wallah
South Sudan
 
Goli la kutafutiwa
Kama hili
20231223_214420.jpg
 
Hamjamboo humu wana Utopwile...
Bwana weee jana goli lilitafutwaa mpk likapatikana...
Mbeleko fc
 
Hauna akili wewe na utabakia hivyo hivyo njaa zinakufanya ugombane na mtu usie mjua hao ulio wataja ni mabwana zako au ???? Kuhusu kumshona kamshone alie kuleta in world hijos de puta madre
Sina njaa kijana.
Umeghabidhika eeh safi sana.

Ukikasirika namna hiyo basi ni kua somo limekukaa vyema na umeelewa.

Siku nyingine hutaacha shuka au kumshughulikia mkeo na kuja kuanzisha uzi uchwara kama huu usio na uandishi mzuri, kwa kuiga tu kisa huwa wanaanzisha basi na mimi niwahi saa nane usiku nianzishe.
 
Back
Top Bottom