South SudanNaomba kuuliza Jamus ni team ya wapii? Nilijua Jamhuri,
Ndo mtu ananikatalia, kuangalia vzuri ni kweli, team ya wapi hii?
Jina geni kwangu wallah
Mimi wa hapa hapa ukoloni hata kama sijasoma unataka kunipiga?wewe wa wapi....
umesoma sentensi iliyotangulia?
Baada ya bomu kulipuka mochwari umekuja mbio kutoa pongezi 😂😂😂👌Endelea kujichetua mfyuuu!
Daima mbele 💛💚
Max alicheza? bado sijatulia kuangalia reviewMgema akisifiwa tembo hulitia maji!! Naona wananchi Leo ni kama mdebwedo Fulani, ngoja tuone
Goli la kutafutiwaWanaweza kushinda, Wacha tuone
Kama hiliGoli la kutafutiwa
Ulikua unataka wapigwe [emoji2772] kama nyie?Goli la kutafutiwa
Sina njaa kijana.Hauna akili wewe na utabakia hivyo hivyo njaa zinakufanya ugombane na mtu usie mjua hao ulio wataja ni mabwana zako au ???? Kuhusu kumshona kamshone alie kuleta in world hijos de puta madre
Mbaya zaidi hawataki kujifunza.Hawajui kitu
Wivu kuanzisha uzi??Acha nongwa na wivu usio na kichwa wala miguu.
Oooh kumbe, ahsanteeSouth Sudan