Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
PoleTuseme nini sasa tumewaachia uzi wenu mfarijiane, sisi tunafukuza mwizi kimya kimya mtakuja kushituka tuko pale juu, ninyi endeleeni kurukaruka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleTuseme nini sasa tumewaachia uzi wenu mfarijiane, sisi tunafukuza mwizi kimya kimya mtakuja kushituka tuko pale juu, ninyi endeleeni kurukaruka tu
😂😂😂Mara Ya Pili.... Chupuchupu..!
Fukuza Kocha huyo
Gamondi naye anazingua, hana mbinu ya kufungua timu inayopaki semi?kazi ni ngumu, Timu tunazocheza nazo zimeanza kuwekewa milioni 200 kutukazia
🤣😂😂😂😁Charles kilian amelala mbele
Mmesahau nyie kwa hii timu mliponea penati ya mchongo! Simba hayanaga akili!mmeponea chupu chupu leo
alambwe na nani?simba lazima alambwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na li Azam FC!alambwe na nani?
kuwa Serious kidogo
ImpossibleNa li Azam FC!
Hujaona wanafukiaUmeviona wapi?
Unateseka ukiwa wapi 🤣 jikite na Azam kesho tafadhali, Azam wanapaka mkongo muda huu 😄Kinini?.ila yanga hii inateseka sana na pira gamondi lake..
Impossible
😀😀😀Ila hili kombe letu kwa mwendo huuu...
Kwa hiyo hapo ulipo umenuna jirani. Teh teh.