na limekua lenye shari...dakika ya ngapi huko...kila lenye shari kwa yanga
Bado hujasemaRefa wa upande mmoja
Kuna baya kwaniAnatoa kadi Kwa Mudathir
Friends of Yanga hatukubali hii...Kama wameamua kuwapa Azam ushindi si wapewe tu jamani? Too much!
We bwege sanaAzam chama langu la nyumbani ,mnaniwakilisha vyema sana.
Mbona unazungumzia michuano tofauti?Makolo msijimalize sana, kesho sio mbali!