FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Nafasi ya upili imekuwa ya ushindani sana

Na saizi Singida alishajihakikishia nafasi ya tatu ni yake, sasa anapomuona mwingine anainyemelea lazima amuwekee mikakati ya kumtoa kwenye hiyo nafasi.
 
Hivi hakunaga uchawi wa kuusogeza muda kuufanya uwe mfupi ili tuimalize hii mechi
 
Medeama wameangalia mechi wamecheka😂😂😂😂😂😂

Mkienda kimataifa mvae msuli kazi yao wanakua wanaupandisha tu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom