Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache kuropokaHivi hii ndiyo timu ya kucheza na Madrid na Barcelona!?
WamefungaHongereni yanga kwa ushundu
Hapana, tutacheza na Al-Ahly na wale waarabu wa Algeria.Hivi hii ndiyo timu ya kucheza na Madrid na Barcelona!?
Kwani kesho kuna nini? NikumbusheMbona unazungumzia michuano tofauti?
Nasikia kelele bandaumizaSema huu uzi umepoa sana
Walitangulia Yanga Kufunga....AiseeYale yale ya Ihefu