FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Match Day.

Young African Sports Club Vs Azam Football Club.

Muda 12:30 Jioni.

Benjamin Mkapa Stadium.

Ni game kali, yenye kutaka ushindi.

Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga?

Tukutane kwa Mkapa.

Daima Mbele, Nyuma Mwiko.

All the Best Yanga.
View attachment 2790412View attachment 2790413

Mchezo umeanza
Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
Gooooooi
9' Azizi Ki anaipatia Yanga goli
19' Gooooooio
Sillah anasawazisha upande wa Azam FC kwa shuti kali
30' Yanga wanafanya mashambulizi mawili makali lakini Azam wanaoko hatari
40' Azam wanamiliki mpira muda mwingi
44' Fei anachezewa faulo karibu na lango la Yanga
45' Zimeongezwa dakika 2 za nyongeza

MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
50' Azam wanapiga pasi nyingi na kumiliki mpira
60' Azam wanapata penati
61' Gooooooooo
Dube anafunga goli la pili kwa Azam
68' Goooooooo
Azizi Ki anafunga kwa shuti kali la faulo
71' Goooooooo
Azizi Ki anafunga goli la tatu
90' Zinaongeswa dakika 4 za nyongeza
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni Asset na siyo Liability kwa Young Africans , Thamani yake ilikuwa ni zaidi ya millioni 400 wakati wa Ununuzi wake .Kifupi Yanga wameingiza faida ya zaidi ya milioni 400 ikiwa ongezeko (Gain) la thamani ya mchezaji, Manunuzi ya mchezaji yamekuwa na tija kubwa kwa Wananchi kwa kuimarisha safu ya ushambuliaji , kuimarisha Perfomance,Cashflows na Position ya Club.

Hii Faida inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo baada ya kufanya masahisho(correction of error)ya kosa la kijinga la Mhasibu kilaza iliyetambua hasara ya 400m wakati wa usajili wa Key.

1.(Reversal)Masahisho ya kosa la kijinga la Mhasibu Kilaza:

Dr. Provision of Loss 400m

Cr. Registration 400m

2.Kutambua Ongezeko la thamani ya Mchezaji sokoni (Recognition of Gain in Player’s Fair value)

Dr.Player’s Retention Rights 400 m

Cr.Gain in Player’s Fair value 400 m

Mwisho wa Mwaka hiyo Faida(Gain) inaonekana kwenye Other Comprehensive Income(OCI).

Daima Mbele Nyuma Mwiko.

Wako Mtiifu,

Article.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni Asset na siyo Liablity kwa Young Africans , Thamani yake ilikuwa ni zaidi ya millioni 400 wakati wa Ununuzi wake .Kifupi Yanga wameingiza faida ya zaidi ya milioni 400 ikiwa ongezeko (Gain) la thamani ya mchezaji, Manunuzi ya mchezaji yamekuwa na tija kubwa kwa Wananchi kwa kuimarisha safu ya ushambuliaji , kuimarisha Perfomance,Cashflows na Position ya Club.

Hii Faida inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo baada ya kufanya masahisho(correction of error)ya kosa la kijinga la Mhasibu kilaza iliyetambua hasara ya 400m wakati wa usajili wa Key.

1.(Reversal)Masahisho ya kosa la kijinga la Mhasibu Kilaza:

Dr. Provision of Loss 400m

Cr. Registration 400m

2.Kutambua Ongezeko la thamani ya Mchezaji sokoni (Recognition of Gain in Player’s Fair value)

Dr.Player’s Retention Rights 400 m

Cr.Gain in Player’s Fair value 400 m

Mwisho wa Mwaka hiyo Faida(Gain) inaonekana kwenye Other Comprehensive Income(OCI).

Daima Mbele Nyuma Mwiko.

Wako Mtiifu,

Article.
Uchambuzi wa kisayansi
 
Back
Top Bottom