FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Hahaa ndo hii Azam ikikutana na Simba inakamia kweli .....🤣🤣🤣🤣🚮
 
Nafsi yangu leo haina wasiwasi na inanipa uhakika wa Yanga kushinda bao tatu au zaidi.

Msishangae bao zikwa tano.

MUda utasema.
 
Bakhresa anawapa kila kitu hao Azam,lakini wanamuangusha.Yanga wanyoosheni hao.
 
Wanaosimamia matangazo kieletroniki bado wapo slow.Matangazo hayana ubunifu,wadhamini hawatendewi haki.Mdhamini mkuu haonekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…