FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Hahaa ndo hii Azam ikikutana na Simba inakamia kweli .....🤣🤣🤣🤣🚮
 
Nafsi yangu leo haina wasiwasi na inanipa uhakika wa Yanga kushinda bao tatu au zaidi.

Msishangae bao zikwa tano.

MUda utasema.
 
Bakhresa anawapa kila kitu hao Azam,lakini wanamuangusha.Yanga wanyoosheni hao.
 
Match Day.

Young African Sports Club Vs Azam Football Club.

Muda 12:30 Jioni.

Benjamin Mkapa Stadium.

Ni game kali, yenye kutaka ushindi.

Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga?

Tukutane kwa Mkapa.

Daima Mbele, Nyuma Mwiko.

All the Best Yanga.
View attachment 2790412View attachment 2790413
Wanaosimamia matangazo kieletroniki bado wapo slow.Matangazo hayana ubunifu,wadhamini hawatendewi haki.Mdhamini mkuu haonekani
 
Back
Top Bottom