Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Azam bado ni timu mbovu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Azam chini ya Popat ni wateja wa Yanga Sc, usitarajie makubwa sana..!Azam tunataka droo tu
Kuna watu wana roho za kichawi sana.Kama wamemzomea ni wapuuzi. Mimi shabiki wa Yanga lakini sipendi upuuzi wa aina hii
Ya Msimu hiyo. Bonge ya SaveSave of the day
Kakufanya nini?Huyu refa sio kabisaa.
Sub ya kwanza iwe Mzize.
Bado NakaziaSub ya kwanza iwe Mzize.
Una mdis uliyewahi kumuita Haaland?Mzize si mchezaji wa kumtegemea.
Huyo Diarra msimu huu amekuwa shati sana, sema ndio vile watu bado wanaishi kwenye kumbukumbu za msimu uliopita..!Hili goli angefungwa ayubu angejuta ila kwa kuwa ni diara acha ikae
Wapo kina Aziz,Max,Pacome na wengine watafungaHuyu ndo mzize mnaye tegemea awafunge Alhy ? [emoji23][emoji23]
Hmmh, kumba Yanga nayo huwa inafanya uzembe.?Uzembe mwingi kwa Yanga hapa.
Al ahly ya magomeniWapo kina Aziz,Max,Pacome na wengine watafunga
Ngoma huyu huyu mnaye msemaAucho ajifunze kwa fabrice ngoma, kuwa defensive midfielder haimaanishi ucheze rafu
Kuna mwamba mmoja siku ya mechi ya ufunguzi wa AFL alisemaDiarra ni Onana anayecheza NBC
Huyu mzize ndiye ategemewe kuifungua ngome ya wachezaji wa Ahly kwenye zile ndoto zenu za kuwapiga nje ndani.?Mzize si mchezaji wa kumtegemea.