FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Tulitakiwa na sisi tuwaalike akina Wenger na Infantino ili kuweka mizani sawa
 
Kuna mwamba mmoja siku ya mechi ya ufunguzi wa AFL alisema

"Kocha anatuletea utani, unamtoaje Kibu afu unamuwekaje Onana?"

"Jina la Onana lina gundu jamani ina maana hata Ulaya huko haoni wakina Onana wanavyofanya?"
Hovyo sana mkuu, ila ndo hivyo tu tunaishi nae kwa sababu ya historia
 
Wakuu mbona leo muonekano wa picha hauvutii kama ule wa AFL
 
Tatizo Azam kwenye siasa za Simba na Yanga ndio maana wanafeli pakubwa. Shauri zao.
 
Huyu mzize ndiye ategemewe kuifungua ngome ya wachezaji wa Ahly kwenye zile ndoto zenu za kuwapiga nje ndani.?


Moja kati ya udhaifu wa Mzize ni offside zisizo na maana.
Yap. Ila uzuri wake ni kukaa na mpira. Mengine ni 50-50
 
Back
Top Bottom