FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Bado sijaona Dalili ya Yanga kushinda na hata Wakipata goli ,CR watafunguka hivyo kutafuta magoli maana Wanaonekana Wana uwezo mkubwa Kwa mchezaji mmja mmja kushinda Yanga.
 
Tuna timu nzuri tunakosa mipango pale mbele
 
Huyu refaa ashaanza kufix, kapeta akati kweli yule mchezaji wa CRB alifanyiwa madhambi.
 
Yanga wangejaribu pia mashuti ya mbali siyo lazima kuingia kwenye penalt box
 
Mbele Yanga hawana akili wanapapara yaani shida tupu.

Na hii tabia ya Yanga kukaa nyuma ya mpira mda wote bila kutafuta nafasi Wakiwa na mpira itawatokea puani.
 
Hawa CRB ni majitu makini Sana Wana nidhamu ya Hali ya juu katika ulinzi tokea mechi ya kwanza Yanga ndio wanakukuruka mbele lakini hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…