Kwa kwelii, wacha tusubirii.kutangulia sio kufika
Kabisa. ππWapigwe Tabu Lele tu kama jirani zetu.
Jini la Magoli limeondolewa Kwa Mayele na Sasa linatembea na MudadhirKila la heri watani,nawakia ushindi mwema
Tutamchapa Al Alhy mchezo umeisha .Ushindi ni kuvuka hatua ya makundi sio kushinda mechi ambayo haikupeleki popote
Tutamchapa Al Alhy mchezo umeisha .Ushindi ni kuvuka hatua ya makundi sio kushinda mechi ambayo haikupeleki popote
Mumeanza kubadili kauliUshindi ni kuvuka hatua ya makundi sio kushinda mechi ambayo haikupeleki popote
Ndugu yangu umemuona wapi Mwasibu mbona kapotea ghafla. πππWapigwe Tabu Lele tu kama jirani zetu.
Vizuri brohππ»Hamna mkuu mbwembwe tu, Yanga wanajitahidi sana
Mchawi kwema?Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
πππ baada ya goli wanaleta poroojo nyiiingi.Mumeanza kubadili kauli
Jini la Magoli limeondolewa Kwa Mayele na Sasa linatembea na Mudadhir
Location wapi nije nilipe nusu ya biliNipo banda umiza mkuu nina wallet tu ya kunywesha wana Simba tukishinda mechi
Mkuu. Yanga anaweza shinda mechi zake. Usiwadharau sana. Wana motisha.Ushindi ni kuvuka hatua ya makundi sio kushinda mechi ambayo haikupeleki popote
na vichan apo mnayoyaona n majini yetu pia[emoji23][emoji23] unaambiwa yule sio mudathiri ni jini lile